Vituko mitandaoni. Tupia chako

Huku nilipo hata leo Maharage amefanya yake wakati anaaga


View attachment 2759204
Halafu hii kupangiwa kazi nyingine naona haijakaa sawa kabisa. Ndio maana unakuta mashirika karibia yote ufanisi almost sufuri, wanazungushana tu hata huko anakoenda hakuna la maana anafanya. Akiharibu huku anapelekwa kule etc ni kama wanabadilishana vibobo vya asali tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…