mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,804
hujui vitu vizuri wewe,Never say never, sir! πππ
Amiin mpwa nashukuru sanaNipo mpwa.
Tangu Selfika yenu isambaratike nanyi mmesambaratika hata kuwapata imekuwa shida.
Natumaini uko poa na unaendelea vyema mpwa unakula michembe tu na kuzidi kunawiri. Allah Aendelee kukutimizia kila unalolihitaji mpwa ππΏππΏππΏ
Picha yangu umetoa wapi...