[emoji16]Asante kwa kusababisha nicheke sana
Sikuhizi kawaida, hofu yangu leo ikawa zamu yetu maana tuna kama siku tatu umeme haujakatikaLeo hapa nilipo hakuna umeme tangu asubuhi. Huyu Maharage Chande huyu basi tu [emoji51][emoji51][emoji51]
Asante classmate π
Sisi jana siku nzima. Leo naamini tuko salama japo mambo hayatabiriki aisee!Sikuhizi kawaida, hofu yangu leo ikawa zamu yetu maana tuna kama siku tatu umeme haujakatika
Nilijua bado unanipenda β€οΈβ€οΈβ€οΈ
Kaka zangu wana wake.
Siyo Msukuma maana hamkawii π¬π¬π¬
ππππNilijua bado unanipenda β€οΈβ€οΈβ€οΈ
β‘οΈβ‘οΈβ‘οΈ Na hatakaa anisikie tena! πππ