Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hii ni wiki maalum kuelekea Simba Day ... kabla ya kuifikia Simba Day inatakiwa tufunge swaumu maalumu inayoitwa BILA MTANI INAWEZEKANA ! Hutakiwi kutamka jina lao ,Kuandika au kusoma habari zao , wala kujadili lolote au chochote kwenye Magroup yetu ya kimtandao.. Kwa kufanya hivyo tutakuwa tumefaulu swaumu yetu na hakika nao watakuwa wemeathirika na kuumia vibaya mno. Hebu tuianze hii funga ya kutomtamka
KATA TICKET YAKO MAPEMA TUKUTANE KWA MKAPA SIMBA DAY HII SIO YA KUKOSA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…