Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hoja za watetezi wa Mkataba wa hovyo wa DP world:
[emoji1428] “Acheni ubaguzi na udini”
[emoji1428] Tunahitaji wawekezaji
[emoji1428] Wataongeza ajira na ufanisi ikwemo kuongeza mitambo
[emoji1428] Wanaokosoa wana njaa
[emoji1428] mkataba ni karatasi ya kufungia vitumbua


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muda utaisha lini?

Kulingana na Albert Einstein ni pale tutakapovuka event horizon na kuingia kwenye black hole....

Sad!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…