Exactly, mkuuMbona umerudi ukiwa mnyong'onyefu sana ndugu yangu? Wamekufanya nini? Mbona bashasha zote hakuna? Wamekukataza kulima watu dislikes?
Shukran mkuu, hii wiki nilikuwa kwenye pepa,Haven't seen u for a long while. Welcome back π€
Sawa mkuu!Shukran mkuu, hii wiki nilikuwa kwenye pepa,
Too busy, ila nipo free now
Kama kalambwanda tu, hii weeknd namalizia hukuumemaliza test sio unakesha humu
huku ni 60% π kazi ninayoKama kalambwanda tu, hii weeknd namalizia huku
Ila nta dissappear tena kujiandaa na UE π³π³π³
Si unajua ni 50% πππ nampamgo wakulamba 45% kwa masomo yote,
Hivyo ntasepa tena
Hapo nimekuelewa...Exactly, mkuu
Kazi yangu imeisha hiyo, lengo ilikuwa ni kuwa maarufu
Na of course hawataki nitoe reaction, ila sina shida nao
Lengo limetimia lakini
π π π π , ni 60 kwa vyuo vingi ila vichache ni 50huku ni 60% π kazi ninayo
π π π π π π πππ, sawa babu πππHapo nimekuelewa...
Kama malengo yako yameshatimia hapo poa.
Una kitu utafika mbali maishani maana mbinu uliyoitumia ili kuwa maarufu hapa tena kwa muda mfupi zaidi ni njia ya kipekee sana.
You have an indomitable spirit young man....πππ
leo weekend mkuu tafuta pisi ujilipue πππ π π π , ni 60 kwa vyuo vingi ila vichache ni 50
Kaa chonjo, ila diploma umama tu mi hata nisinge pigika sana
Bachelor sasa π₯²π₯²π₯², noma
Ila acha ni refresh, mambo ya chuo nayaacha kwanza
Naogopa ukimwi, gono, na laanaleo weekend mkuu tafuta pisi ujilipue ππ
Mvua Kubwa Inaendelea Nchini Algeria, na Kwa Mujibu wa Utabiri wa Hali ya Hewa Imetajwa kuwa siku ya Kesho itakuwepo Mvua Kubwa Zaidi Yenye Ngurumo na Radi