Tayari wanalalamika hayana utelezi wa kutosha 😁😁😁🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
Kama kuna mtu amekutibua si umroge tu yaishe? 😳😳😳Maisha yangu.
Chaguo zangu.
Matatizo yangu. Makosa yangu.
Masomo yangu.
Zingatia maswala yako mwenyewe kabla ya kuongea kunihusu. Maisha yangu si hadithi yako ya kusimulia.♡
Sent using Jamii Forums mobile app