Kweli aisee ๐
Imeisha hiyoo...
Wahehe wapoje kitandani? ๐ค๐ณ
Tukisema kuwa mwanamke ni lazima awe na nyama nyama mnasema tunazingua...๐๐ฟโโ๏ธ๐๐ฟโโ๏ธ๐๐ฟโโ๏ธ
View attachment 2634939
View attachment 2634940
Makamba ni Lieutenant na sio Lieutenant Canal wacha kumpa cheo,Luteni Kanali Mstaafu wa Jeshi, aliyepigana vita ya Kagera na akakitumikia Chama cha Mapinduzi mpaka kuwa Katibu Mkuu wa Chama. Mbunge wa Kuteuliwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mstaafu, baba wa Watoto Wanne na Shabiki wa Simba. Mzee Yusuph Makamba ametimiza miaka 85 leo.
View attachment 2634711
Sent using Jamii Forums mobile app
Wahehe wapoje kitandani? ๐ค๐ณ
๐๐๐๐๐Out of the topic....๐ ๐ ๐
Kwani wahehe kitandani wakoje....๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Ila bana, mi nilivalishwa shanga wakati niko mdogo zile za kutenga nyonga na tumbo hazi zikakatika zenyewe....
Tangu hapo shangazi akaniambia, hata usipozivaa ukubwani kikubwa mpaka wako wa tumbo na kiuno unaonekana hasa wakati wa kulima, sebeneka shangazi.......
Oooh nimesahau kumbe wake za watu ndo wanavaa shanga, mweeh, nimekosea acha nirudi nilikotoka...๐คช.
๐๐๐๐๐ huyo matron ningemtimua sitaki aibu ndogo ndgo.
Hahaah! Huu mchezo wa kuchit wameanzisha wazaramo