Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mjasiriamali wa Teknolojia Bryan Johnson anatumia mamilioni ya pesa kwa mwaka kujaribu kurejesha nyuma umri wake.

Muonekano wa tajiri huyo mwenye umri wa miaka 45, sasa unaonekana kama kijana wa miaka 18 kushuka chini.

Bryan anasema madaktari wake wametumia zaidi ya miaka 22 kubadilisha umri wa ngozi yake.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…