Kama anakupelekea moto ipaswavyΓ΄ najua hio kauli itajitenguaWanasemaga mwanaume wa hivi wa nini mimiππ
Kumbe, tutakula nini sasa kabla ya kunipelekea moto?Kama anakupelekea moto ipaswavyΓ΄ najua hio kauli itajitengua
Msidanganyike...wanaume tunapensa sura na chura.
Got u badiπ
Nomautakaaje arusha usivute aiseeπ unapajua the mulbery??
Machalii wanavyotamkaga tusuu,!! Noma sanaDonβt drink and drive.
Indrive zimejaa town.. kwanini alidrive akiwa tusu?
Poleni.
Hii inauma sana.Mtu unasafisha ghetto mpaka linang'aa
Unanunua vitu vya msingi
Unajiandaa kisaikolojia
Hela za matumizi na "nauli" yake ya kurudia.
Unafakamia sijui karanga, tende na upuuzi mwingine
Unakoga na kujisopusopu vizuri mpaka unatumia cologne yako ambayo huwa huigusi hovyo hovyo...
Una-cancel appointments zote siku hiyo....
Unaomba mpaka Mungu Akusamehe tu maana hakuna namna!
Halafu mtu haji dah!
Vipodozi vyake vimembabua kinoma