utakaaje arusha usivute aiseeπ unapajua the mulbery??Atalionaje na wakati ye anaangalia mbele na lenyewe liko nyuma.
Wanasemaga mwanaume wa hivi wa nini mimiππMy dear Ms eyes hebu wacheki na wengine hali ngumuView attachment 2626858
kweli watu mnajipangaπUnaomba mpaka Mungu Akusamehe tu maana hakuna namna!
ππ napajua. Kuna mtu nilikuwa namsindikiza akavute aharibu mapafu yake π€£π€£utakaaje arusha usivute aiseeπ unapajua the mulbery??
angalau saivi pamefungwa, watu walikua wanaharibikia pale πππ napajua. Kuna mtu nilikuwa namsindikiza akavute aharibu mapafu yake π€£π€£
Mimi na watu wengine wengi tunakaa na hatu-moke π
ππππ wamehamia The Hub na Billsangalau saivi pamefungwa, watu walikua wanaharibikia pale π
dah kuna binamu yangu alipata ajali last year akiwa anatoka bills kalewa.... saivi naogopa sanaππππ wamehamia The Hub na Bills
Bills kila meza ina mtungi
Na pale pembeni ya DStv ππ pamenitoka jina.
Usinambie nawe walikuharibu
Donβt drink and drive.dah kuna binamu yangu alipata ajali last year akiwa anatoka bills kalewa.... saivi naogopa sana
Huyu mwamba akili zake anazijua mwenyewe