CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,010
- 41,047
Baada ya manii kufanya yakeKitambulisho cha kufanya matuc
Picha ni msanii wa Tanzania Rosa Ree, Picha ya kwanza kabla akiwa hajapata ujauzito na picha ya 2 ni baada ya kupata ujauzito.View attachment 2622996
Hakuna taasis inayoweza kukubal kubadili kipengele km hichoKwa mujibu wa Katiba hii ya mwaka 1977 dhahabu ikikutwa shambani kwako aridhi ni ya serikali lakini bangi ikikutwa shambani kwako aridhi ni yako. Tunataka Katiba Mpya itakayotoa mamlaka ya umiliki ardhi kwa watu ili kama ardhi yenye bangi ni yako basi na yenye dhahabu iwe yako
Ubaya wako huwa hauko siriazi....Asante... Namshukuru Mungu Nimetoka salama [emoji120][emoji120] Nimepata Baby Girl [emoji7][emoji7][emoji7] ..
Mantiki kengeufu....Kwa mujibu wa Katiba hii ya mwaka 1977 dhahabu ikikutwa shambani kwako aridhi ni ya serikali lakini bangi ikikutwa shambani kwako aridhi ni yako. Tunataka Katiba Mpya itakayotoa mamlaka ya umiliki ardhi kwa watu ili kama ardhi yenye bangi ni yako basi na yenye dhahabu iwe yako
Si kila kinachomea basi kimepandwaMantiki kengeufu....
Dhahabu ni natural resource...
Bangi ni juhudi zako....
Na umepanda makusudi huku ukijua ni kinyume cha sheria.....
Robo heka ya bangi imejiotea tu eeh!Si kila kinachomea basi kimepandwa
Vingine vinajiotea tu