Walienda kupiga biashara mkuu ya kilimo cha matikiti na viazi aseeee walipigwa na vitu vizito sana kichwani
wenzao wanauza magunia wao wanaambulia hasara tu na wote wamelima sehemu 1 mazao yanaharibika tu wenzao yananawiri,,,,
kuja kufuatilia jamaa 1 waliyekutana nae huko akawauliza swali 1 :
je mlivyokuja huku mlijipanga????
Ikaishia hapo,,,,,,,,
yaani mtaji wa X million uliisha ikabidi wapewe naulli ya kurudi moshi
Wenzio wamepiga faida ya 6m+ wao hola na wote waliopiga faida ni wa huko huko mwanza na kanda ya ziwa wote huko
Daah nikaaminigi hivi vitu vipo π’π’π’ so sad