Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,406
Kati ya gym na huyu binti ni nani alimkuta mwenzie? πππ
Nimekuunga mkono.Shimba ya Buyenze unacheka sanaπ
Binti kamkuta mchizi yumo gymKati ya gym na huyu binti ni nani alimkuta mwenzie? πππ
Na taa huwashi π€£π€£mimi nakata hata siku tatu ndani na madirisha yakiwa yamefungwa ππ
James Maxwell equations ndiyo zilionyesha kwamba umeme na sumaku ni kitu kile kile na ndizo ziliweka misingi ya mashine na injini zote za kisasa zinazotumia umeme.Huyu newton funga kazi nimeanza kumsoma class 5 kwenye forces mpaka namaliza form 6 nipo nae tu πππ’π’ duuh nikasema ngoja nim hame nilipokuwa chuo
Jamaa ni another level asee huyo maxwell simkumbuki vizuri πππ
Ni katika harakati za kupunguza kumtupia mtu lawama daddy πNimekuunga mkono.
Kwamba connection za kutengenezewa siyo nzuri. Ni bora utengeneze yako mwenyewe ili mambo yakikushinda unakuwa huna wa kumlaumu....
Poached π€
Ooooh maxwell nimekumbuka sasa si mambo ya maxwell cork screw rule na ma left hand ruleJames Maxwell equations ndiyo zilionyesha kwamba umeme na sumaku ni kitu kile kile na ndizo ziliweka misingi ya mashine na injini zote za kisasa zinazotumia umeme.
Wanasema ukiachilia mbali likitabu la Isaac Newton PRINCIPIA, Maxwell Equations pengine ndiyo andiko linalofuatia kwa umuhimu wake katika uwanja wa sayansi...halafu yanafuatia maandiko ya yule kijana karani wa kawaida tu katika ofisi ya hatimiliki aliyeishangaza dunia mwaka 1905 alipochapisha makala tatu zilizoibadilisha dunia kiasi kwamba mpaka leo mwaka 1905 unajulikana kama mwaka wa miujiza katika sayansi.
huyo yukoje, ni kiben10??πPoached π€
Weeee nani aoe wakati papuchi zimekuwa rahisi hivi kuliko bundle nipo kataa ndoa mkuuu π π π π.
jiandae kipigo hicho πWeeee nani aoe wakati papuchi zimekuwa rahisi hivi kuliko bundle nipo kataa ndoa mkuuu π π π π.
Dia hazbandi mtarajiwa usiniache njia panda tafwazali π
So umesema fried au boiled nikaona isiwetabu niongezee na poached π€huyo yukoje, ni kiben10??π
Ooooh maxwell nimekumbuka sasa si mambo ya maxwell cork screw rule na ma left hand rule
Sawasawa electromagnetism niliikimbiaga form 4 nikakutana nayo form 6 ilinibidi tu niipigehuyu maxwell nishampata
Hiyo ya 1905 ilikuwa noma sana hats offkwake mchizi relativilty nimeitumia sana kwenye topic nyingi za physics asee
Alafu Einstein alikuwa mpenda papuchi balaaa
huyu sasa ndio mwanamke....mwanaume au mke kuchepuka sio sababu ya kuvunja ndoa.