Bageshi bana...Huoni hapo kabeba pochi halafu anamtembeza fasta fasta wawahi eneo la tukio.
Huyu ni mm kabisa π
Si ndio hapo sasaMwisho zikunyonge π
Chakufia nini
Me mpole sana bageshiBageshi bana...
Niliku sijui kuwa na wewe ni mkorofi hivi πππ
Lala wewe kesho kaziniπππ
Utapewa bahasha yako. Urudi ulikotoka..
ππ kazi gani tenaLala wewe kesho kaziniπππ
Nalijua sana....tena vizuri mno!Me mpole sana bageshi
Sina ukorofi kabisa, na unalijua hilo[emoji28]
Utapewa bahasha yako. Urudi ulikotoka..
But in a serious note.
Shimba ya Buyenze mtujibie hilo swali [emoji23]
Nataka nishtue akili.
Imelala mno