Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Hii jenda hii....
Sasa hiyo one inatoka wapi paka mweusi wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
aki sikujua mkuu πHii jenda hii....
Mpaka dimpozi wanaweka za bandia π³
Mi mwenyewe sikujua aseee kumbe kuna mchina mpaka kwenye mashavu noma sanaaki sikujua mkuu π
nimeshtuka sana....Mi mwenyewe sikujua aseee kumbe kuna mchina mpaka kwenye mashavu noma sana
nimeambiwa hizo ni fake π oyaaa, mnaziwekaje....Noo, Zake kubwa πππ
Vyangu vidunchu dunchu
Zako ndio za mchina?aki sikujua mkuu π
unamaanisha nini mkuu, mbona sina dimples....Zako ndio za mchina?
Hamna fake bana. Utatoboaje sasa shavu?nimeambiwa hizo ni fake π oyaaa, mnaziwekaje....
Lenie alisema unazo ππunamaanisha nini mkuu, mbona sina dimples....
how?? when?? why?? moyo unaenda kasi sana πLenie alisema unazo ππ
πππ ngoja nimuitehow?? when?? why?? moyo unaenda kasi sana π
dah, aisee sijui niseme nini.... unanisaidia sana jobless boy ππππ ngoja nimuite