Hamna kitu kizuri hata kimoja hapo.pombe, bangi, viepe
jamani wewe kila mahali upo π ungekua shangazi yangu kweli ungenipiga sanaπDogo unakunywa pombe na hujamaliza shule?
Matumizi mabaya ya pombe hayo
athari ndo mbaya ila ladha ni nzuriπHamna kitu kizuri hata kimoja hapo.
Hamna kitu kizuri paleathari ndo mbaya ila ladha ni nzuriπ
hata kiepe?? πwadada mnavokishambulia....Hamna kitu kizuri pale
Wee ningekua nakucharaza sanaπ€£π€£jamani wewe kila mahali upo π ungekua shangazi yangu kweli ungenipiga sanaπ
π€£π€£ Naona unataka kua msanii
Mie mmama. Wamama chips hatutumiihata kiepe?? πwadada mnavokishambulia....
Aisee..
unaeza ukaishia jela π
πππ unalolisaka utalipataNimemuita Daktariiiiπ