Nikikukuta mbinguni natoka nduki nikijua kuwa ama ni mtego au nimekosea njia. Nitakwenda zangu kutafuta mbingu yenye mayutong huko angalau nipoze moyo 😁
Nilikusikia mahali ukisema kwamba tangu ujiunge JF hujawahi kulimwa ban. Hii yaweza kuwa ndiyo nafasi yako mojawapo ya kutesti zali la ban kama unataka 😁😁😁