Vituko mitandaoni. Tupia chako

Basi tunaomba ushuuda tuamini apa maana ata shimba ya buyenze kashakuchukulia point ap
Huyo babu achana nae mkuuuu ananisagia kunguni tu kisa nilimtukana mchepuko wake Kasie huyu Kasie alitukana mama zetu kisa kile kisa cha hakimi akisema eti sijui ukiweka mali kwa mama alafu akapata kibenten eti atazigawa kusema ukweli ninavyoandika hapa hasira zinawaka hatari 😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑

Acha niishie hapo ushahidi huu πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Account yangu iliyosema hivyo imefungiwa kwa miezi 6 😬😬😬😬 πŸ‘‡

Sema ach nikae kimya tu imagine kibibi cha miaka 65+ kinaandika huu uharo mkuuuu 😀😀😀😠
 

Ko unataka kusema alikua anajaribu kutetea mshangazi wake au vip
vita yenu ni kubwaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…