carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,579
- 285,646
Tuache rasmi kuskiliza nyimbo usizojua zinakusudia nini ktk siri.
Punga Sam Smith.
View attachment 2589312
Shetani ndo kazi yake hiyo mkuuuuSam ni papai lililoiva kitambo sana,sema siku hizi kama kazidi aiseh
Ila ana nyimbo na sauti nzuri bhana
Ht mm ilinishinda, nikaachana nayoNimei download imenishinda nikaifuta
kwaiyo wewe ukipelekewa moto unagawa mali zako sio? Duuh akianani kumbe kuna wabibi mijinga hivyo humu aseeee nimekushusha hadhi kumbe unaweza kuzeeka ukawa mjinga na mpumbavu kama ww oy babu Shimba ya Buyenze embu mrekebishe kikongwe hicho anatema pumba hapa mtandaoni na uzee wake wote sijui ka lewa au ni nn. 🤔🤔Kuna msemo wanasema, wanawake kwa wanawake hatupendani, tunaoneana wivu, chuki, tunarudishana nyuma kimaendeleo n.k.
Ila..... wanaume kwa wanaume ndo eanafanyiana ukatili mbaya sana.....
Wa kuharibiana kinyeo...🤨🤨
Halafu wanasababisha sisi ke tunazidi kugombea me wachache wanaozidi kupungua kila siku...😏.
Wanaamini wakiwekeza kwa mshua, akipata K ikamzungushia uno feni atagawa mali zake kumbe hata mama akipelekewa moto anarithisha mali za mwanae mchana kweupeee....😅😅😅.
Ungekuwa maeneo ya Moro ningekukaribisha sanga sanga respect sana