Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Naona ni tatizo la jumla kwetu watumiaji wa App. Ki Samsung chako hakina tatizo mpendwa 🙏🏿Mpendwa ile shida ya picha kugoma kufunguka imejirudia tena nimefuata maelekezo yale hajafua dafu au ni kisimu changu ndio kinaelekea kaburini
Ki tecno sio kisamsung [emoji1787]Naona ni tatizo la jumla kwetu watumiaji wa App. Ki Samsung chako hakina tatizo mpendwa [emoji1545]
Ki tecno sio kisamsung [emoji1787]
Nmeclear data/Cache lakini wapi ngoja nijaribu kutumia browser.