LuisMkinga
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 3,366
- 6,486
Mwamba anaitwa simon mkerene. Jamaa alikuwa anatoka shamba, mashamba boi sisi peponi...Tunafanya verification kabla hujaingiaView attachment 2582231
Shuka garage. Upande wa sheli ya victoria, unaambaa na huo ukuta kama unapandisha kibaranara uchwara. Road ya kwanza kulia kuna jamaa wanauza supu au kiepe kuna mama mmoja anapika misosi pale wamejaa wachaga tupu.Hebu toa maelezo vizuri mkuu. Ni wapi hasa anapatikana huyu Mama Ntilie?
Na Moderators wameshamkariri
Uyole[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji3590]
View attachment 2581926
Mbona ana mapengoπ€£π€£π€£π€£π€£
Mbona wanandoa wenyewe hawana furahaπ€£π€£π€£π€£π€£
Wanaume wa dar wakienda huko [emoji55][emoji55][emoji55][emoji55][emoji850]
Dogo ni "msomi" na very smart lakini naona bado hajatulia maana kukukosea heshima au kukutukana bila sababu kwake wala siyo ishu. Wampe muda akue kidogo atakuja kutulia tu [emoji16]Uyo jamaa wa kuitwa MTU_WA_MUNGU ameshakula ban[emoji23][emoji23][emoji23]uyo jamaa muhuni sana ye kila siku ID mpya na bado wanamla kichwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Kufungwa hizo pingu we ungekuwa na furaha? [emoji15]Mbona wanandoa wenyewe hawana furaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mama ni Mama tuEventually Mama kaanza kuwa mkali! [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
View attachment 2582509