Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Likely ni kampeni za wenye mtandao hizo. Usijekuta hata wamiliki wenyewe wako kwenye payroll ya hao jamaa maana they have money, power and influence. Mambo ya kushangaza sana!Yule itakua analipwa kusambaza mambo yalee haiingii akilini kujichetua namna ile ingekua ni mimi yaani akifungua ID mpya nakula kichwa.
Naona anaonewa tu japo sisapoti mambo zile ila mbona wapo wengi humu wa aina ile kwa nini yeye tu?Yule itakua analipwa kusambaza mambo yalee haiingii akilini kujichetua namna ile ingekua ni mimi yaani akifungua ID mpya nakula kichwa.
Kwa sababu yuko kazini kusambaza ile agenda hao wengine ni kina nani?Naona anaonewa tu japo sisapoti mambo zile ila mbona wapo wengi humu wa aina ile kwa nini yeye tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa.Kwa sababu yuko kazini kusambaza ile agenda hao wengine ni kina nani?
Na hata kama walijitambulisha ila hauwezi kuwakuta kila mahali wanajichetua mambo ya mav mav.
Hapo jambo ni zito..Dooooooooo!!!View attachment 2578691