Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kufuatia serikali na mashirika mbalimbali kuendelea kupiga vita suala la ukeketaji mkoani Mara, jamii ya Wakurya wilayani Tarime imebuni mbinu mpya za ukeketaji kwa kuwavalisha wasichana nguo za kiume baada ya kufanyiwa ukeketaji
 
You can't even escape this shit it is everywhere.View attachment 2575868
Hizi ni rangi za kawaida sana na kuzikwepa kuzitumia ni vigumu. Zipo pia kwenye bendera ya nchi nyingi tu.

May be we are just overreacting maana sasa tumefika mahali mtu hata ukiona upinde wa mvua tu - one of the most colorful and peaceful natural event - tunahusisha na ushoga.

We need to calm down
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…