Dunia inakoelekea vijana wa kiume wanaenda kuwa mashoga na kuwa legelege wanawake ndiobwatakuwa na nguvu. Huyo mwenye gari aliyepata pancha ni mwanaume shoga, anasaidiwa na mdada mwenye nguvu. aimi lyatuu
Human Fly John 'Jammie' Reynolds balances precariously on two tilted chairs. The daredevil is on the roof edge of a tall Manhattan building, perched on a table placed over a chimney. Ca. 1915-1920.
Ni kweli sijui hizi timu ndogo zinapataje faida nina bro wangu analipiwa hadi nauli kutoka dar kwenda Mtwara na Zanzibar analipiwa nauli,msosi bado posho alaf timu inashindania Mbuzi na Jezi yaan ni kituko kwakweli mpira anafaidika mchezaj sio muwekezaji