Nyerere nilishamsamehe makosa yote likiwemo lile la kutuhamisha kwa fujo tena wakati wa majira ya mvua mwaka 1973 eti kwenda kwenye vijiji vyake vya kiutopia lakini hili la kutounganisha Tanganyika na Rwanda atasubiri sana! View attachment 2561392View attachment 2561396