Nilikuwa namzingua tu Mpare wa watu. Inaonekana alikutana na kakimbaumbau kamoja (kama haka kwenye picha) kakamnyorosha sawasawa mpaka leo angali ni majeruhi. Nikimwambia ahamie huku kwenye mabonge no siteresi hataki. Mwache apambane na hali yake.
View attachment 2556362