Vituko mitandaoni. Tupia chako

Wow...jibaba la kisukuma [emoji7][emoji7] utanifaa sana. Akchuale huu ulikuwa mtego wa kwako na wewe umenasa kichwa kichwa[emoji125][emoji125][emoji125]
Hukuwa na haja ya kunitega. Nilishaingia kichwa kichwa kwako huu mwaka wa 5 sasa japo nilikuwa sijakwambia sababu ya udomozege [emoji16][emoji16]


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…