Preamble! Chitchat sio sehemu salama sana siku hizi....! Uongozi usipokuwa makini JF itapoteza heshima yake Sasa tuendelee na mada yetu Je unajua kuwa Nyuki ni mlinzi kiroho na ni silaha pia ya kutumiwa pia na watu wabaya? Hulka ya nyuki kuruka mbali na udogo wake ule na kurejea kwa usahihi...