Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mapato ya kodi yanayotokana na michezo ya kubashiri toka 2018-2021 yafikia bilioni 359.

2018- Bilioni 58
2019- Bilioni 94
2020-Bilioni 88
2021- Billioni 119.

Mapato haya yanaweza kununua zaidi tractor 1,500 za milioni 60 kila moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…