Vituko mitandaoni. Tupia chako

unatumia kwenye browser kama google tu.. me natumia kwenye chrome.. link yake hii hapa



ukifungua watakuhitaji ujisajiri me nilisign in kwa kutumia google account (email)
after itakuja kama sehemu ya kutype message hivi unatype unachotaka kujua majibu yanakuja...
huu mfumo ni mzuri kwa kuwa unasaidia kusearch vitu na kukupa majibu specific tu kile umeuliza kama unamuuliza binadamu mwenzako. tofaut na google ambayo itakuletea general wewe ndo uanze kutafuta majibu sahihi...

me najitaid kujilimit maana naona kama inalemaza akili hivi kila kitu ukiulizwa chatGPT..

ila ofcourse ni creativity ya hali ya juu.. ni kama unapiga story na mtu tuu ijaribu utaipenda mkuu
 
Asante sana.

Nitaijaribu. Nasikia mpaka essay na summary inaandika vizuri tu!
 
Samahani mkuu spf ni nin
Kinachoua seli na kuzeesha watu haraka ni exposure ya ngozi kwenye UV radiation tunayoipata kutoka kwenye jua. Ukitumia sunscreen yenye SPF kuanzia 50% (na hasa 75%) kila mara unapopigwa na jua unakuwa unajikinga na hatari za hiyo mionzi ya jua. Matokeo yake hutapata wrinkles na alama za kuzeeka mapema hasa usoni na sehemu zingine utakakokuwa unaitumia.

Wajanja akina Depal walishaigundua siri hii mapema ndiyo maana ukiwaona utafikiri wako underage kumbe wanachezea 23 tayari


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…