Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mashabiki hawa wa Arsenal nchini Uganda wameachiliwa huru kufuatia kukamatwa kwao baada ya kusherehekea ushindi wa hivi majuzi wa klabu hiyo dhidi ya Manchester United. Polisi walisema hawakuwa na kibali cha kufanya maandamano hayo ambayo ni kosa la amri ya umma.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…