Duh! Classfied! Huyu kuna anayo yajua! Kumbe lile shambulio lilitekelezwa na hawa jamaa!? Wanakuaga wajinga wajinga hata shabaha hawajui, na shehe ponda wakamkosa mchana kweupeee!
Sijawahi kuona nchi yo yote watalii wanakwenda na makontena yao. Tena kwenye midege mikubwa ya mizigo. Hii nchi bana. Mtalii aje na mkontena wa nini? Halafu akimaliza kuangalia wanyama huo mkontena anauacha wapi?