Kabisa yaani...If I die I die...you slap it and watch it move in sloo moo! Those ole good days
Hujambo lakini?
Nakutakia mwaka mpya wenye heri na mafanikio. You are a good person na kamwe sitausahau wema wako. Ulinivusha kipindi kigumu sana. I am eternally grateful to you my friend and I will always pray for you and wish you the best wewe pamoja na familia yako. Ubarikiwe sana kimdabuo cha watu!