Vituko mitandaoni. Tupia chako

lolote laweza kutokea tukaanza kusingiziana huoni siku zako
Safi kabisa bageshi.

Hapa ghettoni kwangu nina draw ya mambo ya dharula kama hayo japo sitegemei kuwa na mechi hapa leo, kesho na hata milele lakini sifa ya mwanaume makini ni kuwa tayari kwa lo lote wakati wo wote maana you just never know....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…