[emoji16][emoji16] Sina bahati mimi, ngoja nikakate ticket nirudi Dar [emoji125][emoji125][emoji125]Nilifikiri upo Dar...
Basi tena. Enjoy na Wakinga wako huko...
Muone![emoji16][emoji16] Sina bahati mimi, ngoja nikakate ticket nirudi Dar [emoji125][emoji125][emoji125]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
kwa battery za kisasa hasa za Camera/Console huwa zinawekewa chip na manufacture wa kampuni husika kuitambua battery Original na fake, ukiweka battery fake camera au console inashindwa kuitambua battery hivyo haitawaka.