Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Noti fea braza [emoji16][emoji16][emoji16][emoji706]Ukimpa msukuma lift inabidi uwe unamchungulia huko nyuma kila saa, unaweza kuta keshajinyonga na seatbelt kitambo[emoji16][emoji16]
Na sijamuona hapo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kudadeki. Nimeangalia mara mbili kwanza kujiridhisha kama Kwenye hiyo list kuna ndugu Yohana Madhambi
Yani hapo kwa mama zetu ukimaliza kujieleza tu unashushiwa kitu kizito kichwani