Kiburi sii maungwana... Wanaogopa ana mdomo mchafu...Hajimanara kapata Kura Sifuri, yani adi Wake zake wameshindwa kumchagua, Sasa umuhimu wa kuwa na wake wengi upo wapi,.? [emoji855][emoji855]View attachment 2440902
Kwangu ni kinyume chake
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila JF kuna malijendi aisee. Eti kuna jamaa lilishamtapeli mpaka Melo....na alipofurukuta akalimwa ban [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2440207
Mmmh
sema haya mambo ya ndugu bwana...aaaaaahKwangu ni kinyume chake
Is Einstein alive? [emoji15][emoji15][emoji15]
$ Bilioni 40 aisee mpunga mrefu sana. Ikianguka itakuwa blunder ya karne. Ni kufa na kupona!NEWS: Elon has been regularly sleeping at SF HQ as he tries to fix Twitter.View attachment 2440882
Theory of Relativity | VOL IIEinstein is alive? [emoji15][emoji15][emoji15]
Hata Tupac aisee atakuwa hai somewhere [emoji16]