Kuwa mwizi nyakati za Kidigitali unahitaji roho ngumu sana. Unaleta treni za mtumba Old escaping from Subibo unawaambia hii ni Billion 2.2. Wenzako wana google tu aina ya treni na bei zake brand new bei ni nusu ya bei zenu. Oneni aibu.
View attachment 2440420