Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kama siyo mwelewa usije ukashangaa ukapata kesi.

Nani alinunua haya matunda wakati we najua hupendi matunda.

Nani alikusaidia kupanga hivi.

Kwa nini nimeondoka ndo umeamua kuwa romantic. Hii idea umepewa na nani?

Shauri yako!
shida ya wake zetu wa kiswahili utamfanyia hivyo akija wala hawi excited sana sana anaona umepoteza muda bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…