Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hao huwa siwapi hata 50, ni matapeli. Kuna baba hivi mara kibao nakutana nae anaomba nauli hadi anasahau watu anakuomba kwa mara ya pili, ya tatu na sababu ni zile zile hadi tushamkariri. Siku hizi nikimuona namtoa baru.
Ukimpa anavuka ng'ambo ya barabara anaenda kuomba tena[emoji16]

Nataka siku nikutane na anaeomba nauli nimwambie na mie naelekea huko Tegeta twende nakulipia[emoji16] Maana wanataja mbali hili uwaonee huruma[emoji16]
 
[emoji16][emoji16]kwahiyo tukubaliane hamna kuwapa pesa!! Hata sisi tuna shida zetu kibao zinahitaji pesa na hatuna!
 
Ukimpa anavuka ng'ambo ya barabara anaenda kuomba tena[emoji16]

Nataka siku nikutane na anaeomba nauli nimwambie na mie naelekea huko Tegeta twende nakulipia[emoji16] Maana wanataja mbali hili uwaonee huruma[emoji16]
Wamezidi,wanakera sana. Afu kuna wale wanatembea na mikaratasi sijui imesainiwa na nani huko wanaomba mchango wanaumwa hawa nao ni wale wale huwa nawatoa nduki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…