Hahaha huyo dogo kashika mfuko wenye popcorn angalia nimezungushia duara la blue hapo
sasa ukiangalia kwa haraka bila kumakinika utahisi kama dogo mlemavu wa miguu
kumbe yuko fresh ni hilo fuko linalofanana na rangi ya hiyo ardhi limeziba miguu yake
View attachment 1274685
Jakha