Alafu saivi kuna kamtindo kameibuka ka hivi vi-slayqueens kujipost post na kupostiwa wapate anttention ya kujulikana na kutrend socia media nakupenda vitu vikubwa vilivyo juu ya uwezo wao Kwa Tamaaa zao ivyo vitu ndo vinawackost.
Matokeo yao yanakuja kuwatokea kama tunayoyaona Leo ya kunyanduliwa na kuvuja video zao.
"Politics is the art of looking for trouble, finding it everywhere, diagnosing it incorrectly, and applying the wrong remedies." Groucho Marx on Politics