Vituko mitandaoni. Tupia chako

Tuache upotoshaji pale Uingereza msibani kulikuwa na wageni zaidi ya 500 ambao ni VIPs kiprotokali kuwasafirisha kila mmoja na msafara wake isingekuwa rahisi kwa sababu ya muda;usalama,gharama na pia nguvu kazi. Hata familia ya malkia ilipanda mabasi na viongozi mbalimbali wa nchi duniani. Sasa kupotosha kwamba wamedhalilishwa si kweli kwani ile sio safari ya kiofisi ni msiba.Biden alisafiri na magari yake yanaitwa the beast
 

Asante

Afadhali umeona hiyo, maana ni nchi sita tu ndio zilizo kuwa na usafiri binafsi ambazo ni
Marekani, German, Japan, Israel, Canada na France.
Malalamiko wanafanya ya nini kama nchi kubwa kama Australia nayo pia iliachwa!
Watu wengine ni vibuyu kweli kweli walahi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…