Ila sisi wanaume hatupo fair.
Yaani demu anang'ang'ana kujipodoa uso weee, Ila sisi tunaangalia na kujali kitu kimoja tuu - makalio (a.k.a chura)😁
Makeup ya makalio iletwe sasa!!!
Jamaa alikuwa kwenye daladala pembeni kuna
dada mrembo kakaa. Kamlia timing kwa muda
kisha kaanzisha mazungumzo: Jamaa: “Samahani dada, unaitwa Google?”. Dada: “hapana, kwanini umedhani naitwa
hivyo?”. Jamaa: “Una kila kitu nnachokitafuta