Waache ujingaOna Hawa wajinga yaani 3700 ndo.mkwara wote huu
Tigo nivushe wananidai 450,000 na wametulia kimya.
Mkopo wenyewe haupandi kila siku 3500View attachment 2342644
Aling'atwa na asali wakati akilina nyuki[emoji23][emoji23]
Itajeee [emoji23][emoji15][emoji15][emoji15]
View attachment 2342379
Huyu c ndo alitaja mwaka wa kuzaliwa ambapo hata baba hajazaliwa
Ule usemi wa "muone kwanza meno kama ngiri" ndiyo huo hapo....
Depal njoo ucheke... Hahahaha[emoji16][emoji16]View attachment 2342512
Huyo kameza vidonge kabisa...Makeup si kitu Cha kufanyia masihara [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣
Aisee 🤔[emoji16][emoji16]View attachment 2342512
Duuh!
Unaweza fikiri anaongelea kuendesha barabarani, kumbe siyo😁
🤣🤣