Ukweli mtupuuuMadness is when you think your Girlfriend is dating only you..π
Than you !!!
Shida ya kuku ni moja tuu.. Shimo ni moja lakiniPenzi la kuku
Penzi la kuku sekunde 2 ila vifaranga kibao..
Penzi la binadamu dakika nyingiiii hadi saa nzima Lakini mtoto 1 au 2.
Sasa, binadamu na kuku nani JEMBE?!!!
Ukiona jogoo popote wee piga saluti tuu[emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimejaribu kupumuaMambo 10 ambayo huwezi kufanya:
1. Huwezi kuosha Macho kwa Sabuni;
2. Huwezi kuhesabu nywele zako,
3. Huwezi kupumua kwa Pua na huku umetoa Ulimi;
4. Saivi Unajaribu kufanya namba 3
6. Umeona inawezekana, sanasana unakuwa Kama umbwa[emoji16]
7. Unatabasamu !
8. Umeruka namba 5;
9. Unahakikisha Kama kweli 5 haipo.
10. Unatabasamu kwa kuwa umebambwa!
AiseeUkipendwa ujue kuna boya huko kaachwa[emoji4]
[emoji123]Kwani kujisalimisha! [emoji23][emoji23]
@mzabzab anapuyanga na gobole[emoji23][emoji23]Silaha pesa bastola mzigo [emoji16]
Huyo mama tu jamani dooh, ntafika mbinguni nipo hoi[emoji16][emoji16]Taavid unawafahamu hawa? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2342088