Wadada:
Mfalme Sulemani alikuwa na wake 700 na alichepuka (cheated) na vimada 300 . Mpenzi wako/Mume wako unamfumania na kimada mmoja tu ugomvi na amani inapotea ndani ya nyumba, unasimulia kuanzia padri, Mchungaji, ukoo wako mzima, mashoga, stress, vidonda vya tumbo, inapelekea mpaka unaokoka, eti kisa kamuonjesha mmoja.. Sasa akionjesha 700 si utapiga kambi Mirembe huko?!!! Wadada acheni HiZO