Vituko mitandaoni. Tupia chako

Dancing is a vertical expression of the horizontal desire๐Ÿ˜
 
Dancing is a vertical expression of the horizontal desire๐Ÿ˜

Umemaliza kila kitu....!

Ukipatana na mupenzi wako wote mnapenda mziki, waaaiiiii......

Mnacheza ile mziki unaamsha vimengโ€™enya vyote mwilini halafu mkitoka hapo......

Ni kusukuma torori hadi gereji (wheel barrow) mnalala wepesiiii usingizi mnonoooo....! ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 

Mdada​

Jamaa alikuwa kwenye daladala pembeni kuna
dada mrembo kakaa. Kamlia timing kwa muda
kisha kaanzisha mazungumzo:
Jamaa: โ€œSamahani dada, unaitwa Google?โ€.
Dada: โ€œhapana, kwanini umedhani naitwa
hivyo?โ€.
Jamaa: โ€œUna kila kitu nnachokitafuta๐Ÿ˜Š
 

Mambo 10 ambayo huwezi kufanya:​

1. Huwezi kuosha Macho kwa Sabuni;
2. Huwezi kuhesabu nywele zako,

3. Huwezi kupumua kwa Pua na huku umetoa Ulimi;
4. Saivi Unajaribu kufanya namba 3
6. Umeona inawezekana, sanasana unakuwa Kama umbwa๐Ÿ˜
7. Unatabasamu !
8. Umeruka namba 5;
9. Unahakikisha Kama kweli 5 haipo.
10. Unatabasamu kwa kuwa umebambwa!
 

Tofauti ya ukopaji wa mzungu na mswahili​

MZUNGU: Hi, I need $100, will pay back on Monday

MSWAHILI: Kaka vipi, shwari? Dah.. hatuonani mzee, mishe vipi, mnatunyima nini huko? Juzi nimekuona kwa mbaaaliโ€ฆ mzee shavu dodo, full kipupwe! Sie tupo bwana, shida tu, wife naye kajifungua ghafla. Sasa, kuna cheque naisubiria haijatoka hadi leo, wanasema itatoka next week, hapa nimekwama kweli. Naweza pata โ€˜Laki Mojaโ€™ ya karibu hapo nitarudisha mwisho wa mwezi huuโ€ฆ?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ