Vituko mitandaoni. Tupia chako

We pepo utaisikia kwenye TV tu.

Kitambo kidogo kinepita. Ushaharibu mabinti wangapi huko baada ya kutolewa nje na mjukuu wangu?
We mzee ahida kweli (tabu tupu) mjukuu wako mimi wa kazi gani wakati nina mkukuu wa Chief Kingalu!? Sina shida na mjukuu wako. Na pia mimi nimesemea najua mtu akizeeka anafanya kipara 😆😆😆😂😂😂🤣🤣🤣🚬🚬🚬🏃🏾🏃🏾🏃🏾
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…